Unordered List


MATAWI MAALUMU YA UMOJA WA VIJANA WA CCM KUIMARISHWA VYUONI



Mkuu wa Utawala wa UVCCM Taifa Comred OMARI MWANANG'WALU akizungumza na baadi ya vijana kutoka vyuo mbalimbali vya Mkoa wa Dar Es Salaam ambao walikuja kujifunza mambo mbalimbali ya UVCCM MAKAO MAKUU, KAMA VILE ,KANUNI YA UVCCM NA IDARA ZA UVCCM MAKAO MAKUU.

AKIAMBATANA NA COM MPOKWA, kwa pamoja waliwapongeza vijana hao kwa moyo wao wakujenga UVCCM imara.
Mkuu wautawala alisema.."..tunatafuta utaratibu mzuri zaidi wa kuona tunaimarishaje matawi ya umoja wa vijana vyuoni nchi nzima, baada ya kikao na viongozi wenzangu tutawajulisha nini tumeamua kwa pamoja....."





Chapisha Maoni

0 Maoni