Unordered List


MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA MH. SADIFA JUMA AMSIMIKA KAMANDA WA WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma Akisaini Kitabu cha Wageni cha Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma Akimuapisha Kamanda wa Wilaya ya Kilolo Prof. Peter Mahmudu Msola ambae pia ni Mbunge wa Jimbo hilo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma Akibadilishana mawazo na Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa Iringa Alawi Haidary Foum

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma Akiwa naKamanda wa Wilaya ya Kilolo Prof. Peter Mahmudu Msola ambae pia ni Mbunge wa Jimbo hilo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Mh. Sadifa Juma akihutubia wananchi.

Makamanda wa Kata 25 za Wilaya ya Kilolo.

Chapisha Maoni

0 Maoni