Jumapili, 6 Julai 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA TANTRADERais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam wakati alipotembelea na kukagua mabanda ya makampuni mbalimbali yanayoshiriki kwenye maonyesho hayo.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- DAR ES SALAAM 2 
 12 
Mshauri wa jeshi la Magereza Bw. Alferio akitoa maelezo kwa Rais jakaya Kikwete kuhusu kofia bora za kujikinga waendesha pikipiki wakati alipotembelea katika banda la Mafereza 15 
Rais jakaya Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya nje wakati alipotembelea katika banda hilo leo Mh. Rais Jakya Kikwete aliwahi kushika wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa. 3 
Rais jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Bi Hoyce Temu Mtaalamu wa Mawasliano wa Umoja wa Mataifa (UN)wakati alipotembelea banda hilo leo na kupata maelezo mbalimbali ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini. 4 
Rais jakaya Kikwete akizungumza na vijana waliofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali wa tatu kutoka kulia nji Bi Hoyce Temu Mtaalamu wa Mawasiliano wa umoja wa Mataifa (UN)
17 
Rais jakaya Kikwete akimsalimia mtoto ambaye jina lake halikufahamika mara moja wakati akitembelea katika mabanda mbalimbali kwenye viwanja vya Sabasaba leo.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu