Unordered List


UVCCM TAIFA INAMUOMBEA MJUMBE WA BARAZA KUU SYLVESTER YARED APONE HARAKA KWA UWEZO WA MUNGU


Mjumbe wa Baraza Kuu Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Viti Vitano Bara Mh. Sylvester Yared akiwa katika Moja ya Majukumu yake ya Kuijenga Chama.    GET WELL SOON JEMBE



Mjumbe wa Baraza Kuu Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Viti Vitano Bara Mh. Sylvester Yared akizungumza na Wananchi Mkoani Simiyu.
Mjumbe wa Baraza Kuu Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Viti Vitano Bara Mh. Sylvester Yared akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Mjumbe wa Baraza Kuu Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Viti Vitano Bara Mh. Sylvester Yared akiwa na Vijana wa Mkoa wa Mwanza.
Mjumbe wa Baraza Kuu Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Viti Vitano Bara Mh. Sylvester Yared akipanda Mti Zanzibar wakati wa Matembezi ya Miaka 50 ya kuyaenzi Kumbukumbu ya Mapinduzi Matakatifu ya Zanzibar.
Mjumbe wa Baraza Kuu Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Viti Vitano Bara Mh. Sylvester Yared akiwa kwenye Pozi.            

Chapisha Maoni

0 Maoni