Jumatano, 13 Agosti 2014

MWENYEKITI WA UVCCM MSASANI AWAONYA VIJANA WANAOPANGA NJAMA ZA HUJUMA


M/kit wa Uvccm kata ya msasani Ndg.severine kumbila ameonya kijana yoyote wa uvccm wanaokaa vikao nje ya vikao na kuwasema viongozi na kupanga njama za kuhujumu uongozi wa uvccm kata na kuchochea viongozi wa matawi kugomea maagizo ya viongozi wa kata na anaetoa siri za vikao endapo ikibainika MTU au kundi lolote atachukuliwa atua Kali kwa mjibu wa kanuni ya uvccm.mwenyekiti alisema hayo kwenye kikao cha kamati ya utekelezaji kata.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu