Ijumaa, 8 Agosti 2014

SOPHIA MFAUME: MBILI(2) ZATOSHA TATU(3) ZA NINI?Mheshimiwa Sophia Mfaume, MNEC Kupitia Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM TAIFA) amewasihi watanzania Kuendelea na Muungano wa Serikali Mbili, alitoa Utafiti mfupi alioufanya kuusiana na mchakato wa katiba mpya. alisema "Idadi ya watanzania wote kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 ni zaidi ya milioni 40.
Wananchi waliobahatika kutoa maoni katika tume ya kukusanya maoni kwa ajili ya mchakato wa kuunda katiba mpya ni 778,211...kati yao walioongelea muundo wa muungano ni wananchi elfu 47 sawa na 13% ya waliotoa maoni.
Sasa kwa wale wanaojaribu kuudanganya umma kwamba watanzania wengi (13%) wanataka serikali 3 hayo mumeyatoa wapi???
Watanzania wanataka huduma bora, haki zao kuheshimiwa na kutekelezwa, kupungua kwa ukali wa maisha na maisha bora kwa ujumla.
Tuache kuudanganya watanzania."
 

Mheshimiwa Sophia Mfaume, MNEC Kupitia Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM TAIFA) akimuelekeza Kijana Umuhimu wa Serikali Mbili.

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu