Jumatatu, 11 Agosti 2014

UVCCM MKOA WA IRINGA INAENDELEZA MAANDALIZI YA KUMSIMIKA KAMANDA WA MKOA TAREHE 23/08/2014

 Kuelekea katika Sherehe za Kumsimika Kamanda wa UVCCM Mkoa wa Iringa, Ofisi ya Katibu wa UVCCM Mkoa wa anaendelea na Maandalizi.

Maandalizi anaendelea vizuri kwa pande zote za mazoezi ya kutumia Brass Band yataanza kesho rasmiili mpaka 23/08/2014 vijana wawe wamewiva.

Mtu yeyote mwenye ujuzi wa kutumia vyombo  hivyo tunaomba Msaada wake.

kupitia taarifa  hii tunawakumbusha mualiko upo pale pale 23/08/2014. Uwanja wa Mwembetogwa Iringa Mjini.

VIVA UVCCM LONG LIFE UVCCMShare:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu