Ijumaa, 19 Septemba 2014

KINANA AANZA ZIARA KIBAHA MJINI ATEMBELEA HOSPITALI YA TUMBI NA MRADI WA MAJIKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM wilaya ya Kibaha mjini.
 Mbunge wa Kibaha mjini Silvestry Francis Koka akitoa maelezo ya michoro ya ofisi mpya ya CCM wilaya ya Kibaha mjini kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Michoro inayoonyesha ofisi za CCM wilaya ya Kibaha mjini zitakavyokuwa.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za CCM wilaya ya Kibaha mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la ofisi ya CCM wilaya ya Kibaha mjini.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakizungumza na wananchi walikuja kumlaki Kibaha mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlao wakishiriki kufyeka shamba la Vijana Boko Timiza lenye ukubwa wa hekari 25 .
 Mganga Mkuu Hospitali ya Tumbi Dk. Peter Dattani akieleza changamoto mbali mbali walizonazo hospitali ya Tumbi kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alieleza bado hospitali hiyo inahitaji vifaa na madawa kwani inapokea majeruhi kwa asilimia 80.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji.  Na Sufyan Omar
 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu