Jumatano, 17 Septemba 2014

KINANA APATA MAPOKEZI MAKUBWA MAFIA Umati wa watu ukiwa umejazana kwenye bandari ya Mafia kumlaki Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyewasili Mafia kwa kutumia Mashua akitokea Nyamisati
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake wakinywa chai kwa Mama Lishe kwenye bandari ya Nyamisati muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mafia.
 Mbunge wa Mafia Ndugu Abdulkarim Shah akizungumza machache kuhusu mipango ya serikali kujenga gati kwenye bandari ya Nyamisati na tayari serikali imeshatoa shilingi millioni 500 za ujenzi wa gati hilo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwaaga wananchi waliowasindikiza katika bandari ya Nyamisati.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ndani ya Mashua kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao pamoja na abiria wengine.

Ndani ya Mashua ambayo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amepanda kuelekea Mafia akiwa na abiria wengine.
 Katibu wa CCM mkoa wa Pwani Joyce Masunga (mwenye fulana nyeusi),Naila (katikati) na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Pwani Zainab Vulu wakiwa ndani ya mashua iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuelekea Mafia.
Mashua ya Shelley iliyombeba Kinana na msafara wake na kuwafikisha Mafia kwa kutumia masaa matatu na nusu tu kutokea Nyamisati.


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Viongozi wa CCM wa wilaya ya Mafia.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu