Jumanne, 16 Septemba 2014

KINANA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII KIBITI Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha maji mkazi wa kijiji cha Muyuyu Bi.Zainabu Athumani mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji utakaonufaisha wananchi 3765.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki zoezi la kuchanganya dawa kwa ajili ya kutengeneza batiki kwenye kikundi cha akina mama kinachoitwa Upendo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kitenge cha batiki alichotengeneza kwa kushirikiana na akina mama wa kikundi cha Upendo kitongoji cha Songa kijiji cha Mchukwi.
 Katibu Mkuu wa CCM akishiriki kupiga marimba na  wasanii wa kijiji Mchukwi wakitumbuiza ngoma ya Dega
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mmoja wa mama lishe wa soko la Kibiti mjini ambapo alijionea namna ambavyo biashara zinavyoendelea.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu