Unordered List


MWENYEKITI WA UVCCM TABORA MH. SEIF GULAMALI AZINDUA LIGI YA UVCCM GULAMALI CUP

Hapa ilikuwa mwisho wa ziara wilayani Igunga kwa M.kiti Uvccm Mkoa wa Tabora kuzindua ligi ya Uvccm Gulamali Cup ambapo timu za Kata zoote 24 zitashiriki kuanzia kushindana kuanzia Vijiji na Vitongoji na kupata bingwa wa Kata na baadae Tarafa zaidi ya timu 260 zitashiriki ni sawa na vijana wasiopungua 4000 watashiriki hii ni sehemu mojawapo ya kufahamiana,Ni furaha,kujenga Upendo kukuza vipaji vyao lakini pia Uchumi.nipende kuwaambia Asanteni sana wakazi woote wa Igunga kwa Mapokezi yenu yale yoote tuliyoyaona na kuyasikia tutayafanyia kazi.


Na Sufyan Omar

Chapisha Maoni

0 Maoni