Unordered List


KOMRED MFAUME KIZIGO ATOA POLE YA MSIBA WA BABA YAKE KATIBU WA UVCCM MKOA WA KILIMANJARO


Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Komredi. Ally Mfaume Kizigo akitoa pole kwa wafiwa katika msiba wa baba yake Katibu wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro Ndg. Yassin Lema.

Mazishi ya Mzee Lema yalifanyika katika kijiji cha Uswaa, Machame Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro.

Na Sufyan Omar

Chapisha Maoni

0 Maoni