Jumanne, 9 Septemba 2014

SOPHIA MFAUME MGENI RASMI VIJANA CUP MOROGORO


Fainali ya michuano ya vijana (UVCCM VIJANA CUP) kata ya Mazimbu mkoa wa Morogoro.
Kama tutaanza kuchuja wacheza mpira wa miguu kuanzia kwenye kata, kisha tuwachuje wilayani, mkoani kisha waende taifani....ni wazi tutakua na watu wazuri zaidi kuliko kukurupuka tu kusajili mtu yeyote anayeweza kupiga mpira.
Ni vyema kukawa na utaratibu (process) mzuri zaidi kupata wachezaji bora.
NAWASHUKURU UONGOZI WA KATA YA MAZIMBU KWA KUNIPA HESHIMA YA KUWA MGENI RASMI KWENYE FAINALI HIYO


Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu