Jumatano, 22 Oktoba 2014

DAIMOND ASEMA"HATORUDIA TENA KUVAA NGUO ZA JESHI"

PICHA SITA ZA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA LEO HII


.

Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuanzia jana (tarehe 21 Oktoba) meneja wa msanii huyo Babu Tale amekua akihojiwa na polisi mpaka alipoachiwa kwa dhamana mapema leo saa 5.

.

.
Vile vile msanii Diamond aliripoti polisi mapema leo kwa ajili ya kuhojiwa, ambapo baada ya kuhojiwa msanii huyo ameachiwa kwa dhamana pia jioni hii. Hizi ni picha zikimuonesha msanii Diamond akitoka kuhojiwa na jeshi la polisi.
.
.
.
.
.
.
.

.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu