Jumanne, 7 Oktoba 2014

KINANA AZURU KUMBUKUMBU YA CHIFU MKWAWA, KALENGA


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikaribishwa na Chifu wa sasa wa wahehe, Abdul Adam Sapi, alipotembelea Makumbusho ya Mtemi wa Kwanza wa Wahehe Chifu Mkwawa, katika kijiji cha Kalenga, wilaya ya Iringa Vijijini, Oktoba 6, 2014.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akitazama kwa makini fuvu la Chifu Mkwawa kwenye makumbusho hayo.
 Fuvu la Mkwawa ambalo lilirejeshwa na Wajerumani nchini baadaye, likiwa katika makumbusho hayo
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akionyeshwa sanduku lililohifadhiwa vufu la Mkwawa na Wajerumani kabla ya kurejeshwa nchini
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitazama baadhi ya bunduki alizotumia Mkwawa kupambana na wajerumani na wahasimu wake wengine katika vita kabla ya Uhuru. Kulia ni Msimamizi wa Makumbusho ya Mkwawa,  Zuberi Mwamwitala.
 Msimamizi wa Makumbusho ya Mkwawa, Zuberi  Mamiwtala akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ngao na mikuki vilivyotumiwa na askari wa wa Mkwawa
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshwa masalia na chuma, kilichokuwa kikitumika kufua zama mbalimbali za chuma ikiwemo majembe na mikuki enzi za Chifu Mkwawa
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshwa barua iliyoandikwa na Mkwawa kwenda kwa wakoloni wa kijerumani.
 Kinana akionyeshwa picha ya kuchorwa ya Chifu Mkwawa, katika Makumbusho hayo tena.
 Picha ya Chifu Mkwawa
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipiga marimba  yaliyotumiwa  na Chifu Mkwawa
 Kinana akizuru kaburi la Spika Mstaafu Adam Sapi Mkwawa
 Kinana akitoka kukagua Makumbusho ya Chifu Mkwawa
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu