Unordered List


MAKAM WA RAIS DK BILALI AIPENDEZESHA SIKU YA MSANII MLIMANI CITY



Mgeni rasmi katika Siku ya Msanii Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo katika siku ya Msanii Mlimani city.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo.

Wafanyakazi wa Global Publishers, Mhariri wa gazeti la Risasi Jumamosi, Eric Evarist (kushoto) akiwa na Andrew Carlos (katikati).(P.T)

Kikundi cha ngoma za kinyeji kikitoa burudanu usiku huu Siku ya Msanii Mlimani City.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL)

Chapisha Maoni

0 Maoni