Unordered List


Rais Kikiwete aongoza mazishi ya Meja jenerali Muhiddini Mfaume Kimario mjini Moshi


 Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika  makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika  makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Jakaya Kikwete akiwasili kwenye mazishi ya la  Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhidini Kimario  katika makaburi ya manispaa ya Moshi. Kulia kwake ni Meja Jenerali  Ezekiel Kyunga, aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange ambaye yuko nje ya nchi. Kushoto kwa Rais ni Brigedia Jenerali Amos Martin Kemwaga
 Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu
  Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu
  Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu
 Bendi ya JWTZ ikiongoza msafara kuelekea kaburini 
 Askari wa JWTZ wakiwasili makaburini
 Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili makaburini
 Jeneza likipelekwa kaburini tayari kwa mazishi
 Askari wa JWTZ wakiwa tayari kutoa heshima za mwisho za Kijeshi pembeni mwa kaburi
 Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi hazijaanza
 Sehemu ya waombolezaji
 Waombolezaji katika mazishi 
 Umati mkubwa wa wananchi wa manispaa ya Moshi na sehemu zingine wakiwa katika mazishi
 Mazishi
 Sehemu ya wanahabari kwenye mazishi. Wa tatu toka kulia ni Dixon Busagaga, mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
 Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo kaburini
 Dua baada ya maziko
 Watoto wa marehemu na ndugu wengine wa karibu
 Baada ya ndugu wakiongozwa na viongozi wa dini kumaliza maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga
 Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Msengi na Meja Jenerali  Ezekiel  Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
 Askari akitoa ishara wakati wa kupigwa mizinga
 "Last Post" ikipigwa
 Meja Jenerali  Ezekiel  Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi jenerali Davis Mwamunyange  akisoma salamu za rambirambi za JWTZ
 Rais Kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya
 Meja Jenerali  Ezekiel  Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi, akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa marehemu
 Mtoto wa marehemu Mfaume Kimario akitoa shukurani
 Watoto wa marehemu wakifarijiana
 Rais Kikwete akiwafariji watoto wa marehemu
 Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu
 Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu
 Rais Kikwete akiwafariji familia ya marehemu
 Rais Kikwete akitoa pole kwa familia
 Rais Kikwete akiaga waombolezaji
 Rais Kikwete akiagana na waombolezaji
 Rais Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg Nape Nnauye wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
Rais Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU

Chapisha Maoni

0 Maoni