• UVCCM TAIFA

  SAUTI YA VIJANA,SAUTI YA UMMA.CCM MPYA,TANZANIA MPYA.

 • UVCCM TAIFA

  MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

 • This is default featured slide 3 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 4 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 5 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Jumapili, 30 Novemba 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 3 WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI (EAC) KUHUSU MIUNDOMBINU JIJINI NAIROBI, KENYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wa tatu kutoka (kushoto) Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, (kushoto kwake) Makamu wa Rais kwanza wa Burundi, (kulia kwake) wakijumuika kwa pamoja na viongozi  wengine wakionyesha Taarifa ya pamoja waliyoisaini kuhusu majadiliano ya kuimarisha Miundombinu kwa nchi wanachama wa  Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika mkutano wa 3 wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) kuhusu Miundombinu, uliofanyika kwenye Ukumbi wa KICC, jijini Nairobi jana Novemba 29, 2014. Picha na OMR.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa 3 tatu wa wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) kuhusu miundombinu, uliofanyika katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi jana Novemba 29, 2014. Picha na OMR.
Share:

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI NA KUZUNGUMZA NA WANAHABARI UWANJA WA NDEGE JIONI HII JIJINI DAR.

Rais Kikwete akizungumza na Wanahabari kwenye ukumbi maalum wa mikutano,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiini Dar,mara tu baada ya kuwasili jiioni hii akitokea nchini Marekani kwa matibabu.
Share:

Jumamosi, 29 Novemba 2014

RAIS KIKWETE ATUA DAR ES SALAAM LEO AKITOKEA MAREKANI KWENYE MATIBABU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru  Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Jenerali davis Mwamunyange baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere aliyefika kuwapokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014
Share:

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MTWARA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Mtwara vijijini ,Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kufuatilia utekelezaji wa ilani na kuimarisha chama chetu.
Share:

Ijumaa, 28 Novemba 2014

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA

unnamedWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed3Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 27, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AKUTANA NA DR. SHEIN

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi.[Picha na Ikulu.]
Share:

MAGAZETI YA LEO IJUMAA.
.
.
.
.
Share:

TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

 
1
MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU TAARIFA YA UKAGUZI MAALUMKUHUSIANA NA MIAMALA ILIYOFANYIKA KATIKA AKAUNTI YA
ESCROW
” YA
 TEGETA PAMOJA NA UMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL1.
 
Historia ya Mradi
Mheshimiwa Spika 
,
Katika miaka ya tisini (1990s), Tanzaniailikuwa ikikabiliwa na tatizo la uhaba wa maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme, hali iliyopelekea kuwepo kwa upungufu waumeme na kuathiri shughuli za maendeleo ya kiuchumi nakijamii nchini. Ili kukabiliana na tatizo hilo, Serikali ilichukuahatua za dharura za kuanzisha mradi wa kufua umeme wenyeuwezo wa kuzalisha Megawati (MW) 100.
2.
 
Upatikanaji wa IPTL
Mheshimiwa Spika 
,
Mwaka 1994 Serikali ilitoa kazi yauwekezaji kwa Kampuni ya
Independent Power Tanzania Limited 
 (IPTL) iliyokuwa inamilikiwa na Kampuni za
VIP Engineering andMarketing Ltd 
 ya Tanzania iliyokuwa na Asilimia 30 na
MECHMAR Corporation ya Malaysia 
 (MECHMAR) iliyokuwa naAsilimia 70. Kampuni ya IPTL ilipewa leseni ya kujenga, kumilikina kuendesha (
Build-Own-Operate 
) Mtambo wenye uwezo wakuzalisha umeme wa MW 100 kwa kutumia mafuta mazito eneola Tegeta-Salasala, Dar Es Salaam.
 
2
Katika
Ukurasa wa 52 Aya ya 2, ya Taarifa ya PAC,
 Kamatiimependekeza Mtambo huo utaifishwe.
Ufafanuzi:Mheshimiwa Spika,
Kulingana na Mkataba wa PPA kati yaTANESCO na IPTL, majukumu ya IPTL yalikuwa ni kujenga,kumiliki na kuendesha (Build, Own and Operate
– 
 BOO).Hivyo, kutaifisha Mtambo huo ni kukiuka makubalianokatika Mkataba wa PPA wa tarehe 26 Mei 1995, ukiukwajiwa aina hii ukitokea unaweza kuingiza Serikali katikamgogoro mkubwa ikiwa ni pamoja na kushtakiwa kwenyeMahakama za kibiashara za kimataifa. Aidha utaifishaji wamiradi ya uwekezaji binafsi itakuwa ni njia ya kufukuzawawekezaji binafsi 
 
Mheshimiwa Spika 
,
 Tarehe 26 Mei, 1995, TANESCO na IPTLwalisaini Mkataba wa PPA kwa muda wa miaka ishirini (20), kwaajili ya kununua umeme utakaozalishwa na IPTL. Kwa mujibu waMkataba huo, IPTL ilitakiwa kuiuzia TANESCO umemeusiopungua Asilimia 85 ya uwezo wa Mtambo (
minimum off take 
).Hata hivyo, uzalishaji wa umeme haukuanza mara mojakutokana na mgogoro uliotokea kati ya TANESCO na IPTLkuhusu gharama halisi za uwekezaji na namna ya kukokotoa
Capacity Charges 
. Hivyo, IPTL ilianza kuzalisha umeme tarehe 15 Januari, 2002. Kutokana na hali hiyo muda wa miaka 20 ya
 
3
Mkataba ulianza kuhesabiwa tarehe 15 Januari, 2002 baada yakuanza uzalishaji (
Commercial Operation Date 
).
Mheshimiwa Spika 
,
Pamoja na mambo mengine muhimu yaliyokuwemo katika PPA, Kifungu Na. cha Mkataba huokinaipa TANESCO wajibu wa kulipa malipo yaliyotajwa hapo juuna kwamba endapo kutakuwa na mgogoro wowote kuhusiana namalipo hayo (
Disputed Amount) 
, itafunguliwa Akaunti maalum(
Escrow Account 
) ya kuhifadhi fedha hizo hadi pale pande mbilizitakapokubaliana juu ya uhalali wa malipo yanayobishaniwa.Aidha, chini ya PPA, migogoro yote kuhusiana na masuala yautekelezaji wa Mkataba huo ilitakiwa kuwasilishwa nakuamuliwa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi waMigogoro ya Uwekezaji (ICSID) ya London. Hivyo, ilikuwa ni jukumu la kila mhusika katika Mkataba huu kuwasilishamalalamiko yake ICSID yanapotokea.Katika Ukurasa wa 8 Aya ya 2 ya Taarifa ya PAC imeelezwakuwa mwaka 2004 TANESCO ilifungua shauri la ICSID 2kupinga kiasi kikubwa cha tozo ya
Capacity Charge 
.
UfafanuziMheshimiwa Spika
,
Taarifa hiyo siyo kweli. TANESCOhaijawahi kufungua shauri lolote ICSID ya London auMahakama yo yote dhidi ya IPTL kupinga kiasi kikubwa cha
Share:

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE TANDAHIMBA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maghala ya kuhifadhia korosho wilayani Tandahimba, Mtwara wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi na kupkea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Kinana akisaidia kumtwisha gunia la korosho mmoja wa wapagazi wa maghala ya kuhifadhia korosho, wilayani Tandahimba leo.
 Kinana akikagua mradi wa maji wa Mkupete katika Kata ya Mahuta.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu