Jumapili, 2 Novemba 2014

CHILUMBA AWAKIMBIZA UKAWA MTWARA,,AUNDA MKAKATI KABAMBE WA VIJANAMKT WA UVCCM MKOA WA MTWARA BWANA CHULIMBA;akifunga kambi ya vijana ya mkoa wa mtawara, aliwataka vijana hao kuhakikisha wanazingatia mafunzo waliopewa katika kukisaidia chama cha mapinduzi atika chaguzi zijazo lakini pia kupitisha katiba mpya itakapo anza
Akiwa ameambatana na Bi Halima Bulembo ambae ni mjumbe wa baraza kuu Taifa na Bi Deisy kamanada wa UVCCM wilaya ya Masasi CHILUMBA ALISEMA…’ nyie ni mashahidi sasa kuwa  Mtwara ni tulivu si ile ya wakati wa vugu vugu la gesi,hii yote ni kazi yetu vijana kukataa kutumika na wale vibaraka wa maendeleo,nawasihii  kuendelea na msimamo huo,kusoma na kujibidiisha kwa bidii katika kujenga maisha yetu,,twendeni tukawe mabalozi wa zuri wa CCM kila tufikapo,,,tushikane kuhakikisha UKAWA Mtwara inazidi kusambaratika,,,”

Akiongeza Bi Halima Bulembo alisema “ nawapongeza sana kwa ujasiiri wenu wakuvumilia kambini,hasa wakina dada na huu ndio moyo unaotakiwa,,lazima wanawake tuonyeshe tunaweza kwa kuwa tunaweza lazima tuwe na juhudi ili tufanikiwe zaidi,nawashukuru sana kwa heshima kubwa mlionipa,nawatakia kila la heri na mimi nipo tayari  wakati wote tusaidiane kukijenga chama chetu,,asanteni sana..”AMA KWA HAKIKA UVCCM SASA IMEAMUA KUPAMBANA NA UKAWA,,,LEO UVCCM MKOA WA PWANI WANAFANYA BARAZA LA VIJANA
TUTAWALETEA MATUKIO

HAPA NA KWENYE WEBSITE YA  www.uvccm.ccm.or.tz    BAADAE KIDOGO
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu