Jumanne, 11 Novemba 2014

DK.SHEIN AFUNGUA SEMINA YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA LEO

1wAbdulrahman  Ghasia alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Mangapwani Mkoa wa Kaskazi/ni B Unguja leo alipofika kufungua semina ya Viongozi wa Juu Mikoa na Wilaya za Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
2wRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheir wakati alipowasili katika Hoteli ya Sea Cliff kufungua semina ya siku tatu ya Viongozi wa Juu Mikoa na Wilaya za Zanzibar,3wBaadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika ufunguzi wa semina na ya siku tatu iliyowashirikisha makatibu tawala wa Mikoa ya Zanzibar na baadhi ya Tanzania Bara iliyoanza leo katika ukumbi wa Sea Cliff nje kidogo ya Mji Zanzibar.[Picha na Ikulu.]4wWashiriki wa katika semina ya Viongozi wa juu wa Mikoa na Wilaya za zanzibar na Baadhi kutoka Bara wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa semina hiyo leo katika Hoteli ya Sea Cliff  Kama nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.]5wRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa semina ya Viongozi wa juu wa Mikoa na Wilaya za zanzibar na Baadhi kutoka Bara inayohusu Mahusiano na mwingiliano katika siasa na utendaji kwa Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya na Makatibu Tawala wa mikoa ya zanzibar na baadhi Tanzania Bara leokatika Hoteli ya Sea Cliff  Kama nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu