Jumatano, 26 Novemba 2014

DR. SHEIN AFANYA MKUTANO NA MABALOZI WILAYA YA KATI

unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi alipofika katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja alipofika kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano maalum wa mwendelezo wa ziara zake za kumarisha Chama, [Picha na Ikulu.]unnamed2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi alipofika katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja alipofika kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano maalum wa mwendelezo wa ziara zake za kumarisha Chama, [Picha na Ikulu.]unnamed5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapongeza wasanii wa kikundi cha Benibati kilipotumbiza kwa wajumbe wa Mkutano maalum wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani kabla ya kuzungumza nao katika kuimarisha Chama leo viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni mwendelezo wa ziara katika Mikoa ya Unguja, [Picha na Ikulu.]unnamed6Baadhi ya WanaCCM Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa leo kuzungumza na Viongozi hao katika Mkutano maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kati Unguja, [Picha na Ikulu.]unnamed7Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Samia Ramadhan Mpambalyota (kulia) akikabidhi Taarifa ya kazi ya Mkoa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika viwanja vya Tamarind Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja leo,[Picha na Ikulu.]unnamed8Shemsa Abdalla Ali jimbo la Koani alipokuwa akisoma risala fupi ya Mabalozi wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Tamarind HotelKijiji cha  Uroa Wilaya ya kati Unguja,[Picha na Ikulu.]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu