Unordered List


JERRY SILAA ATEMBELEA KATA YA NKOLOLO, AKUTANA NA PADRE PAULO

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Jerry Silaa akisalimiana na Padre Paulo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Jerry Silaa akiongea na Padre Paulo ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo wa Dutwa.
Mazungumzo yaendelea.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Jerry Silaa katika siku ya tisa ya ziara yake ametembelea kata ya Nkololo na kupita kumsalimu Padre Paulo ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo wa Dutwa.

Padre Paulo amemweleza mkakati wa upanuzi wa hospitali yake na Mjumbe wa kamati kuu ameahidi kumsaidia baadhi ya mambo ili wananchi wa Nkololo wazidi kupata huduma.

Chapisha Maoni

0 Maoni