Jumatatu, 17 Novemba 2014

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUTUBIA KILWA MASOKO

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Kilwa Masoko katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya Mkapa Square mjini Kilwa wakati wa ziara yake ya ya mikoa ya Lindi na mtwara itakayochukua siku 16 akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM inayotekelezwa na serikali pamoja na wananchi na kuhimiza uhai wa chama, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana anaongozana na Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi .(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KILWA MASOKO-LINDI)2Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi  akiwahutubia wananchi wa Kilwa Masoko katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mkapa Square leo.


4Ndugu Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi  akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Nyerere Square..5Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wakifuatilia hotuba za viongozi mbalimbali walikokuwa wakihutubia.
6
Mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini kupitia chama cha CUF Selemani Bungala Maarufu kama Bwege akiwa na wanachama wenzake   wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kilwa Masoko leo.
7
Mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini kupitia chama cha CUF Selemani Bungala Maarufu kama Bwege akifurahia jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kilwa Masoko leo.
8
Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wakifuatilia hotuba za viongozi mbalimbali walikokuwa wakihutubia.
9
Mkuu wa wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega akimpongeza Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara.
10
Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano huo.
11
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa  Ndugu Abdalah Ulega akizungumza na wananchi katika mkutano huo.
12
Kikundi cha muziki kikitumbuiza katika mkutano huo.
13
Wananchi wakiserebuka na muziki katika mkutano huo.
02
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendesha mtambo wa kutengeneza barabara wakati akishiriki katika ujenzi wa mmradi wa barabara ya Kwa Mkocho inayoelekea Kilwa Kivinje wilayani Kilwa.
01 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda kwenye Mtambo wa kutengeneza barabara tayari kwa kushiriki ujenzi wa barabara hiyo.
03
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendelea na kazi.
04
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishangiliwa na Mkuu wa wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega wakati alipokuwa akiendesha mtambo wa kutengeneza barabara aliposhiriki katika ujenzi wa mradi wa barabara ya Kwa Mkocho inayoelekea Kilwa Kivinje.
05
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye mtambo wa kutengeneza barabara ya Kwa Mkocho mara baada ya kushiriki ujenzi huo, kushoto anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega.
2
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya  chanzo cha maji wakati alipokagua  shamba la kilimo cha uwagiliaji  Mavuji kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega.
1
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoka kukagua chanzo cha maji wakati alitembelea kilimo cha Umwagiliaji kata ya Mavuji.
3 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa shamba la umwagiliaji kata ya Mavuji.
4  5 
Mbunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda akisalimia wananchi Nangurukuru.
6
Mbunge wa jimbo la Mtama, Mlezi wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Kilwa na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa Mh Bernard Membe akisalimia wananchi Nangurukuru.
8 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu ABdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kabla ya kushiriki ujenzi wa nyumba ya daktari katika zahanati ya Nangurukuru
13
Mradi wa shambi la kuvuna chumvi Miima wilayani Kilwa
14
Baadhi ya wananchi wakisafisha chumvi katika mradi wa kuvuna chumvi Miima Kilwa.
16
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika shughuli za uvunaji wa Chumvu katika shamba la Miina wilayani Kilwa.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu