Unordered List


KATIBU WA UVCCM TAIFA ZIARANI MKOANI RUVUMA

 Katibu wa Umoja wa Vijana Taifa Mh Mapunda akiwa ziara ya Kuimarisha Chama Mkoani Ruvuma.Ziara yake anakatiza kijiji kwa kijiji kukagua Kero Mbalimbali Pamoja na kusikiliza wananchi
 Mh Mapunda Akiwahutubia wakazi wa Nyasa waliojitokeza kwa wingi Katika Mkutano wake.




Chapisha Maoni

0 Maoni