Jumanne, 25 Novemba 2014

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MASASI, KESHO KUELEKEA NEWALA

3Mtambo wa kuchimbia mifereji ukiendelea na kazi ya kutengeneza tuta la bwawa hilo katika kijiji cha Marika.4Akina mama mbalimbali wakimpokea Katibu Mkuu Kinana wakati alipowasili katika mradi huo.5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi zilizorejeshwa na wapinzani na kujiunga na CCM katika kata ya Chungutwa jimbo la Lulindi kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara ndugu  Mohamed Sinani.6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Marika.7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mbunge wa jimbo la Lulindi Mh.Jerome Bwanausi8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji kwa kupiga ripu  wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa maji wa Chiungutwa jimboni Lulindi.9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua vikundi vya ngoma alipowasili katika kata ya Chiungutwa.11Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikasi, Siasa na Uenezi akimtunza kiongozi wa kwaya ya Chiungutwa wakati ilipokuwa ikitumbuiza.12Afisa CCM makao makuu Lumumba Bi. Gift Msuya akikitunza kikundi cha kwaya cha Chiungutwa wakati kilipokuwa kikitumbuiza katika mkutano huo.13Mbunge wa jimbo la Lulindi Mh. Jerome Bwanausi akizungumza na wananchi katika mkutano huo.14Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika kijiji cha Chiungutwa 15Baadhi ya kadi zilizorejeshwa na wanachama wa vyama mbalimbali Chiungutwa na kujiunga na CCM.16Baadhi ya wanachama wapya wa CCM wakinyanyua kadi zao juu baada ya kujiunga na chama hicho katika kijiji cha Chiungutwa.17Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwaongoza wanachama wapya kula kiapo cha utii kwa chama kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu