Unordered List


MAHAFALI YA KWANZA KIDATO CHA NNE SEKONDARI YA MT. PETER KLEVA IHUMWA, DODOMA

Rais Mstaafu awamu ya tatu Benjamini Mkapa akihutubia kwenye mahafali ya kwanza ya kidato cha nne shule ya sekondari ya mtakatifu Peter Kleva huko Ihumwa nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, Jumapili Novemba 16, 2014. Mkapa aliwaasa vijana wanaosoma sasa kufanbya bidii katika masomo
Rais mstaafu awamu ya tatu Benjamini Mkapa (kushoto) akifurahia jambo na mwenyeji wake Mkuu wa Shule ya sekondarei Mt Peter Kleva ya Ihumwa nje kidogo ya mji wa Dodoma Padri James Andrew Ayaga jana kwenye mahafali ya kwanza ya shule hiyo
Baadhi ya wahitimu wakifuatilia hotuba
Rais Mkapa akiwasili

Chapisha Maoni

0 Maoni