Unordered List


MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA DAR

unnamed1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba katika kuboresha huduma za tiba. Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, limewakutanisha mabingwa wa tiba za afya kutoka nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Afrika. Picha na OMR
unnamed2Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia katika ufunguzi wa Kongamano hilo leo Novemba 26, 2014. Picha na OMR

unnamed3Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia katika ufunguzi wa Kongamano hilo leo Novemba 26, 2014. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tunnamed5Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo mara baada ya ufunguzi. Picha na OMRunnamed6Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo mara baada ya ufunguzi. Picha na OMRunnamed7Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi waratibu wa Kongamano hilo wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach leo Novemba 26, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi kongamano hilo. Picha na OMRunnamed4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi waratibu wa Kongamano hilo wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach leo Novemba 26, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi kongamano hilo. Picha na OMR

Chapisha Maoni

0 Maoni