Unordered List


MKUTANO WA MABALOZI NA WENYEVITI MASKANI WILAYA KUSINI UNGUJA.

unnamed4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa Wilaya ya Kusini Unguja Abdul-Aziz Hamad Vuai wakiwa katika ukumbi wa Visitors Inn Hotel Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama kwa Mabalozi na Wenyeviti wa Wilaya hiyo,{Picha na Ikulu.]unnamed5Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipookuwa akizungumza na Viongozi hao wa Mashina wa Jimbo la Muyuni katika ukumbi  wa Visitors Inn Hotel Jambiani Wilaya Kusini akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Unguja leo, {Picha na Ikulu.]unnamed6Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Risala ya Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika  ukumbi wa Visitors Inn Hotel Jambiani Wilaya Kusini wakati wa Mkutano maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Kusini Unguja, {Picha na Ikulu.]unnamed8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika viwanja vya  Visitors Inn  Hotel Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja alipofika leo kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja,{Picha na Ikulu.]

Chapisha Maoni

0 Maoni