Jumatatu, 3 Novemba 2014

PINDA AZINDUA HARAMBEE YA UJENZI WA KITUOCHA WATOTO NA VIJANA-UDSM

PG4A8561Waziri Mkuu, Mkzengo Pinda akisalimiana na  viongozi wa Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaa  baada ya kuwasili chuoni hapo ili kuzinduaa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa hilojijini Dar es salaama Novemba 2, 2014(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A8592Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Frederick Msagala CD ya kwaya ya Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam baada ya kuinunua kwa sh. 700,000 katika uzinduzi wa Halambee ya kuchangia ujenzi wa  Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa iliyo mjini Dar es slaam Novemva 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A8679 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto  baada ya kuzindua harambee ya  ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam Novembe 2, 2014. Kulia Kwake ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Titus Mdoe na kushoto kwake ni Askofu   Charles Salala wa Kanisa la Afrikani Inland Church. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu