Unordered List


RAIS OBAMA AMTUMIA SALAMU ZA KHERI RAIS KIKWETE

unnamed3Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  baadhi ya wafanyakazi wa
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati
walipomtembelea mjini Baltimore Maryland ambapo balozi Liberata
Mulamula aliwasilisha kwa Rais Kikwete Salamu maalum za kumtakia kheri
na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama leo jijini Baltimore,
Maryland, Marekani.
unnamed4unnamed5Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi
Liberata Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani baada ya kupokea  salamu maalumu za kumtakia
kheri na afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo
jijini Baltimore,  Maryland, Marekani.
unnamed6Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata

Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi  wa Tanzania
nchini Marekani baada ya kupokea  salamu maalumu za kumtakia kheri na
afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini
Baltimore,  Maryland, Marekani. Picha na Freddy Maro

Chapisha Maoni

0 Maoni