Unordered List


RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

unnamed
Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.(Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge)
unnamed18Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda akimpokea Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda alipowasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.unnamed15Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda mara baada ya Kuwasili katika Viwanja vya Bunge kushiriki Misa hiyo.unnamed14Makinda akisalimiana na Mama Maureen Mwanawasa Mke wa aliyekuwa Rais wa Zambia wa awamu wa tatu marehemu Mhe. Levy Mwanawasa 
unnamed1Makinda akihojiwa na Waandishi mara baada ya kumalizika kwa misa hiyo.
unnamed2MC akiongoza misa hiyounnamed3Kutoka kushoto ni Dkt. Kenneth Kaunda, Lupia Banda na Anne Makinda wakiwa na huzuni tele
unnamed4kaunda akitafakari kwa huzuni kifo cha Sataunnamed5Kaimu Rais wa Zambia Mhe. Guy Scot (kulia) akishiriki Misa hiyounnamed6Mjane wa aliyekuwa Rais wa Zambia Dkt. Christine Kaseba Sata akiliwazwa na mke wa kaimu Rais wa nchi hiyo Bi. Charlote Scot wakati wa Misa hiyounnamed7Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.
unnamed8unnamed9Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.
unnamed10Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.
unnamed11Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akishiriki Misa Maalum ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Sata katika viwanja vya Bunge la Zambia leo. Mwili wa Marehemu Sata unatarajia kuzikwa kesho mjini Lusaka.
unnamed12unnamed13unnamed19Rais wa Bunge la SADC na ambaye ni Spika wa Bunge la Tanzania akiondoka katika viwanja vya Bunge la Zambia na Mwenyeji wake Dkt. Patrick Matibini, Spika wa Bunge la Zambia. 

Chapisha Maoni

0 Maoni