Jumatano, 26 Novemba 2014

WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI BAGAMOYO

 Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa
Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiongozana na ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji.
  Katibu Kawala Mkoa wa Pwani, Mgeni Baruani akizungumza akizungumza wakati wa mkutano uliowakutanisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka nchini Ubelgiji na Uongozi wa Mkaoa wa Pwani.
 Ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ukiwa katika mkutano wa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Pwani.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kati ya Tanzania na Ubelgiji, Otieno Igogo.
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akizungumza wakati wa Mkutano
uliowakutanisha viongozi wa mkoa huo na ujumbe wa wafanyabiashara na
wawekezaji kutoka Ubelgiji
Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akizungumza wakati wa Mkutano uliowakutanisha viongozi wa mkoa huo na ujumbe wa wafanyabiashara na
wawekezaji kutoka Ubelgiji.
 Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika mkutano huo.
 
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika mkutano huo.

 Ujumbwa wa Tanzania ukiwa katika mkutano huo.
  Kamishina wa Biashara kutoka Ubalozi wa Ubelgiji nchini, Ivan Korsak akizungumza katika mkutano huo.
 Kamishina wa Biashara kutoka Ubalozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Ivan Korsak akizungumza katika mkutano
uliowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Ubelgiji na uongozi
wa Mkoa wa Pwani waliofika kuangalia fursa za uwekezaji mkoani humo.
  Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza (kushoto) akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
 Shangwe Tamala akitoa mada kuhusu vivutio vya kitalii na maeneo ya uwekezaji katika mkoa wa Pwani.
 Ujembe wa Tanzania na Ubelgiji ukiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wawekezaji kutoka Ubelgiji, Jean-Christophe Van Acker akizungumza wakati wa mkutano huo.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu