Ijumaa, 19 Desemba 2014

DK. SHEIN AFANYA UZINDUZI WA UMEME KIJIJI CHA DONGONGWE KATI UNGUJA

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk wakati alipofika Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Unguja leo kuzindua Nishati ya Umeme,[Picha na Ikulu.]
unnamed3Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa  Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk (katikati)  wakati alipofika Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Unguja leo kuzindua Nishati ya Umeme (kulia)Waziri  wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban (wa pili kulia) Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatib na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija, [Picha na Ikulu.]
unnamed4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua Nishati ya Umeme Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Unguja leo  (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija (kutoka kulia) Waziri  wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban, Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatib na Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk, [Picha na Ikulu.]unnamed5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiingiza namba katika fungua pazia kuzindua Nishati ya Umeme Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Unguja leo  (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija (kutoka kulia) Waziri  wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban, Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatib na Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk, [Picha na Ikulu.]
unnamed6Baadhi ya wananchi na Wazee wa vijiji vya Jimbo la Uzini wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Umeme Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja uliofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo asubuhi, [Picha na Ikulu.]unnamed7Meneja wa Shirika la Umeme ZECO Hassan Ali Mbarouk alipokuwa akisoma Risala ya Shirika mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Uzinduzi wa Umeme katika Kijiji cha Dongongwe  Wilaya ya Kati Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo. [Picha na Ikulu.]unnamed9Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Kijiji cha Dongongwe Wilaya ya Kati Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini  Unguja katika sherehe za Uzinduzi wa Umeme Kijijini hapo leo (kushoto) Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban, Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatib (wa kwanza kulia) akifuatiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdalla Ali, [Picha na Ikulu.]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu