Ijumaa, 5 Desemba 2014

DK SHEIN WILAYA YA MKOANI

unnamedUstadhi Mohamed Juma Issa (kushoto) akisalimiana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  baada ya kusoma Quran Tukufu wakati wa  Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  leo   katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]unnamed4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akipokea risala kutoka kwa msomaji Mwanajuma  Hassan  Kaduara katika wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Fidel Castro akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
unnamed2Sheikh Abdalla Yussuf Ali alipokuwa akitoa tafsiri ya Quran iliyosomwa na Sheikh Mohammed Juma Issa (hayupo pichani) katika kufungua Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  uliohutubiwa  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  leo akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]unnamed3Wasoma Utenzi Saada Mohamed Zahran na Asha Mohamed Ng’wali wakihani utenzi wao katika wa  Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani  leo   uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro  chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
unnamed5Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame Haji akimakaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Fidel Castro chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu