Unordered List


KINGUNGE AMPONGEZA RAIS KIKWETE

unnamed2Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kulihutubia taifa kwa kupitia wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam leo.unnamed1Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mbunge wa Kionondoni Iddi Azzan muda mfupi baadaya baada ya kulihutubia taifa kwa kupitia wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam leo.

unnamed3Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi wakati akiwaaga leo mara baada ya kuzungumza na taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).
unnamedBaadhi ya wananchi waliojumuika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kusikiliza hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo alipozungumza na taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).

Chapisha Maoni

0 Maoni