Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa
Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na
Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai mara baada ya kuwasili
katika ya Kampasi ya Chuo Tunguu kufungua Mahfali ya 10 yaliyofanyika
chuoni hapo Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya walimu katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
wakiwa katika maandamano
katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo kampasi ya Tunguu
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa
cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa
katika maandamano yaliyoandaliwa rasmi katika mahfali ya 10 ya Chuo
hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
ambapo mgeni rasmi akiwa .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein[Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai,Waziri wa Elimu na
mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
Dk.Idriss Muslim Hija wakisimama wakati
Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika mahfali ya 10 ya Chuo yaliyofanyika
katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha
na Ikulu.]
Baadhi ya wahitimu katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar (SUZA) waliotunukiwa Stashahada ya Sayansi ya Kompyuta wakiwa
katika viwanja vya Mahfali hayo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) .[Picha
na Ikulu.]
Wazee na Wtoto wa ambao wamefika katika viwanja vya mahfali ya 10 ya
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakishuhudia wahitimu
wanapotunukiwa Vyeti,Stashahada na Shahada na Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Taifa cha Zanzibar (SUZA) ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) .[Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein ambae pia
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)alipokuwa akiwatunuku
Vyeti,Stashahada na Shahada kwa wahitimu wa fani mbali mbali katika
Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika
katika Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
(kushoto) Makamu Mkuu wa chuo Prof Idriss Ahamada Rai,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya wahitimu wa mafunzo ya Sayansi na Elimu katika chuo Kikuu cha Taifa
cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo
Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja akiwa mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
(SUZA).[Picha na
Ikulu.]
Mwanaidi Ali Faki na Ngano Suleiman Faki mbele ni
wanafunzi waliohitimu mafunzo ya fani ya Kiswahili na Elimu wakiwa
katika mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Tifa cha Zanzibar (SUZA)
yaliyofanyika katika viwanja vya kampasiya Chuo Tunguu Wilaya ya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi
bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10
ya Chuo hicho yaliyofanyika katika
kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimkabidhi zawadi Najat Zahoro Said akiwa ni miongoni mwa wanafunzi
bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10
ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika
kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na
Ikulu.]
Waziri
wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana wanawake na
Watoto Bi Zainab Omar Mohammed akimpongeza mwanafunzi Najat Zahor Said
kwa ufaulu wake mzuri katika masomo akiwa darasani katika Chuo Kikuu cha
Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni
hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja ,
[Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akitoa
hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika katika
kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akifuatana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Idriss Ahmada Rai baada ya
kuyafunga mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika
kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na
Ikulu.]
0 Maoni