Ijumaa, 5 Desemba 2014

MAHMOUD MGIMWA ATOA NEEMA YA UMEME KATIKA JIMBO LAKE

Mbunge wa jimbo la Mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa Mbunge wa jimbo la Mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa akiwa na mkuu wa wilaya wa mufindi.
Mbunge wa jimbo la Mufindi wa kasikazini ambaye pia naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmoud Mgimwa akiwa amevalia 

…………………………………………………………………………
Na fredy mgunda Iringa.
Vijiji 31 vilivyopo mufundi kaskazini mkoani Iringa vinatarajia kupokea umeme na tayari baadhi ya vijiji vipo katika hatua ya mwisho ya kufunga vikombe kwaajili ya kuanza kuvuta nyaya.
Akizungumza na mwandishi wetu katibu wa mbunge wa jimbo la mufindi kaskazini ambae pia ni naibu waziri wa maliasili na utalii Babtist Mdende amesema kuwa, vijiji vinavyotarajia kupata umeme safari hii ni vile vijiji vilivyopo tarafa ya sadani,ifwagi na kibengu.
“vijiji hivyo ni mapogoro, igomaa,kibada,ndolezi na vengine kama ugesa,vikula,ilasa na kipanga ambavyo upimaji bado unaendelea kwaajili ya kusimika nguzo, 
 
“kunabaadhi ya vijiji vipo katika hatua ya awali ya kusimamisha nguzo ikiwepo kijiji cha Isalavanu ambacho mradi wake wa umeme unashughulikiwa na TANESCO wilaya ya mufindi”, alisema Mdende.
Aidha Mdende ameeleza kuwa kwa wale watakao ingazwa kwa mara ya kwanza yaani watu wa kwanza wakati wa kuzindua mladi wa umeme wataingiziwa kwa gharama ya shilingi elfu 30
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu