Unordered List


MH.RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AZUNGUMZA NA TAIFA KUPITIA WAZEE WA DAR ES SALAAM LEO KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

001
Mh.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik na kulia ni katibu wa Baraza la wazee wa Dar es Salaam Mzee Mtulia.
(Picha zote na Freddy Maro)
002
Baadhi ya wazee na wananchi wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akilihutubia taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam leo.

Chapisha Maoni

0 Maoni