Jumanne, 2 Desemba 2014

MKUTANO KATI YA DR. SHEIN NA MABALOZI WETE KISIWANI PEMBA

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Map[induzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofika katika Viwanja vya Jamhuri  Holl  kuzungumza nan a Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika mkutano  wa kuimarisha  Chama  cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wete  leo Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]unnamed1BAADHI ya WanaCCM  wa Wilaya ya Wete Pemba wakimkaribisha   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipofika kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa  Maskani  wa  Mkoa wa Kaskazini Pemba katka ukumbi wa Jamhuri akiwa katika ziara za kuimarisha Chama .[Picha na Ikulu.]unnamed2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika ukumbi wa Jamhuri Wete  kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Wete Pemba akiwa katika ziara za Kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo .[Picha na Ikulu.]
unnamed3Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Wete wakifuatilia kwa makini taraatibu za Mkutano huo uliofanyika leo katik na a Ukumbi wa Jamhuri  ikiwa ni katika kuimarisha Chama ,[Picha na Ikulu.]unnamed5BAADHI ya WanaCCM  wa Wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa  Maskani  wa  Mkoa wa Kaskazini Pemba katka ukumbi wa Jamhuri akiwa katika ziara za kuimarisha Chama .[Picha na Ikulu.]
unnamed6Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Wete akizungumza na katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba na kuhutubiwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Map[induzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]unnamed7Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea Utenzi  baada ya kusomwa  na Asha Msanif wakati wa  Mkutano wa kuimarisha Chama alioufanya leo kwa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya  Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.] Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]unnamed8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea risala ya Mabalozi  kutoka kwa Bina Khamis  wakati Mkutano wa kuimarisha Chama akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu