Alhamisi, 4 Desemba 2014

MKUTANO WA DR SHEIN NA VIONGOZI WA MASHINA WILAYA YA CHAKE

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofika katika Viwanja vya  Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]unnamed2Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa  Kusini Pemba Mshindo Hamad Mshindo (kushoto) akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  mara alipowasili katika Viwanja vya  Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]  
unnamed3
Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chakechake wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha  Fidel Castro Mkutano wa  Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]
unnamed4Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakinyanyua mikono juuu kuunga mkono katiba iliyopendekewa mbele ya Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  alipofanya mazungumzo na Viongozi hao katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama leo,[Picha na Ikulu.]
unnamed5Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa  na Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo,[Picha na Ikulu.]unnamed6Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa  na Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo,[Picha na Ikulu.]
unnamed7Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea  utenzi uliosomwa leo  na  Fatma Juma Ramadhan  wakati Mkutano wa kuimarisha Chama uliowashirikisha Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  wa Wilaya ya Chake chake katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]unnamed8Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Wete akizungumza na katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba na kuhutubiwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Map[induzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ikulu.]unnamed9Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ili azungumze na  wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Mkoa nwa Kusini Pemba akiwa katika ziara za Kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM),{Picvha na IKULU}unnamed10Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM),[Picha na Ikulu.]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu