Jumatatu, 22 Desemba 2014

PINDA AWASILI QATAR KWA ZIARA YA KIKAZI

unnamed Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali  akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

unnamed1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar  iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh  Abdullah Nasser Al Thani  kwenda  kwenye chumba  cha mikutano  baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo  iliyopo Doha  kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar , Sheikh Abdullah  Nasser Al Thani kwenye Ofisi ya  Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu