Jumatatu, 8 Desemba 2014

RAIS DR. SHEIN ASHIRIKI MAZIKO YA MUASISI WA CCM

unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi na Waislamu wakibeba Jeneza lenye mwili wa Muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir Juma  baada ya kumswalia katika Msikiti wa Abdalla Rashid Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi  na kwenda kuzikwa leo kijiji kwao Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha IKULU.]unnamed2Wananchi wakilibeba jeneza lenye mwili wa marehemu muasisi wa CCM marehemu Mzee Juma Ameir Juma aliyefariki leo na kuzikwa  kijijini kwao Muungoni  Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  aliongoza maziko hayo,[Picha IKULU.]unnamed4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa ZanzibarAlhaj Balozi Seif Ali Iddi (katikati) pamoja na Waislamu na Wananchi mbali mbali wakishiriki katika Maziko ya  muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir  Juma aliyefariki usiku wa kuamkia leo na kuzikwa  kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja.[Picha IKULU.]unnamed5Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir  Juma aliyefariki usiku wa kuamkia leo na kuzikwa  kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja.[Picha IKULU.]unnamed7Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitia udongo katika kaburi la muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir  Juma aliyefariki usiku wa kuamkia leo na kuzikwa  kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja.[Picha IKULU.]unnamed8Mjumbe wa Baraza la Wazee wa CCM Haji Machano akisoma wasifu wa muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir  Juma baada ya mazishi yake yaliyofanyika leo kijijini kwao Muungoni wilaya ya Kusini Unguja mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha IKULU.]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu