Unordered List


TAASISI YA MANDELA YAMTUNUKU RAIS KIKWETE

unnamedMkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya uzamivu ya Heshima(PHD Honoris Causa) wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho iiyofanyika katika chuo hicho mjini Arusha leo.(picha na Freddy Maro)

Chapisha Maoni

0 Maoni