Unordered List


TASWIRA YA ZIARA YA KATIBU WA UVCCM TAIFA MKOANI TABORA



Naendelea kuwashukuru sana wakaazi wa Wilaya ya Igunga na Nzega za mkoa wa Tabora kwa mapenzi yenu kwa chama cha Mapinduzi na wale wote waliokuwa wapinzani walionirudishia kadi na kujiunga na CCM
KumbukenI yote tuliozungumza na kukubaliana kuwa:
JumapilI ya tarehe 14 desemba tuwahi kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wetu wote toka CCM

 Wakati wa kupigia kura kwa katiba inayopendekezwa ukifika twendeni tuipigie kura ya ndio
suala la escrow lipo mikono salama,na tunaimani kubwa na rais wetu atalimaliza kwa hakI


Chapisha Maoni

0 Maoni