Alhamisi, 18 Desemba 2014

ZIARA YA MH. WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA DUBAI

unnamed
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Devota Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai  uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nhini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed4Waziri Mkuuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Meneja mkuu wa shamba la kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy  la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia) wakati alipotembelea shmaba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu