Unordered List


BALOZI WA COMORO NCHINI AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais .[Picha na Ikulu.]



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Chapisha Maoni

0 Maoni