Jumatano, 14 Januari 2015

BENKI YA EXIM YAIPIGA JEKI HOSPITALI TABORA

Kamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed (kulia) akipokea msaada kutoka kwa Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle (kushoto) ulioambatana na kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki.  unnamed2 
Kamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed (kulia) akipokea msaada kutoka kwa Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle (kushoto) ulioambatana na kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki. Picha na mpiga picha wetu. unnamed 
Kamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed akizungumza kutoa shukrani kwa Benki ya Exim Tawi la Tabora baada ya benki hiyo kutoa msaada wa kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Kulia kwake Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki. 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu