Jumatatu, 12 Januari 2015

DK.SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MATEMBEZI YA UMOJA WA UVCCM.

unnamed3DVijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakiwa katika  matembezi  ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarleo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]unnamed4DVijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika  matembezi  ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo ambapo kilele chake  katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]unnamed5DRais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea picha za Viongozi kutoka kwa kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Daudi Ismail Juma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia UVCCM wakati wa kilele cha Matembezi ya kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]unnamed6DRais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Picha ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis baada ya kuyapokea matembezi ya Vijana wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika viwanja wa Mnazi Mmjoa Mjini Unguja katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]unnamed7DRais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea  Bendera kutoka kwa Kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Daudi Ismail Juma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)kupitia UVCCM wakati wa kilele cha Matembezi ya kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]unnamed8DVijana wa Chipukizi wakipita kwa gwaride la mwendo wa haraka mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarwakati wa kilele cha
matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi mmoja mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
unnamed9DViongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwepo wa UVCCM wakisimama wakati Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]unnamed10DRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha   matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia  leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]unnamed11DBaadhi ya Vijana wa UVCCM wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha   matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia  leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]unnamed12DRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti   Makamo Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Pili Hassan Suluhu   wakati wa  matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]unnamed13D///// Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman kwa niaba ya Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idii kwa mchango wake mkubwa kufanikisha  matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]unnamed14DRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akipokea matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu