Unordered List


KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA LEO MJINI ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Januari 11, 2015 Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 
Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM iliyokutana leo Januari 11,2015 Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wakati Kikao hicho kilipokua kikiendelea leo Januari 11, 2014 Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. (Picha na OMR) 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiongoza wajumbe wa Kamati Maalum kusimama kwa dakika moja kumkumbuka Marehemu Fatma Othman Ali aliyekua mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM aliyefariki hivi karibuni, kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Januari 11,2015 Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia, akifungua kikao cha Kamati Maalum ya CCM kilichokutana leo Januari 11, 2015 Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzaibar. Wa tatu kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
CREDIT:MZUKAWAFUNGO

Chapisha Maoni

0 Maoni