Jumatatu, 12 Januari 2015

LOWASA, SUMAE, NYALANDU WASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU WA KKKT KIMANDOLU ARUSHA

Waziri mkuu wa mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mamia ya waumini wa kanisa la KKKT Kimandolu jijini Arusha baada ya Ibada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob Masangwa kuwa askofu wa dayosisi ya kaskazini Kati leo Jumamosi Waumini hao walipigana vikumbo kumpiga picha na simu zao.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa jana kwenye Usharika wa Kimandolu.
Viongozi waliohudhuria ibada hiyo katika Usharika wa Kimandolu,kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Eraston Mbwilo,Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Daniel Ole Njolay na Waziri Mkuu mstaafu,Frederick Sumaye.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu